Taarifa muhimu kwa wanafunzi wa Taasisi ya KIST

ALI SULEIMAN

Wanajuulishwa ya kwamba mitihani ya carry over kwa masomo ya semister one,  itafanywa 05/08/2019 na 06/08/2019,  na sup kwa semister two, itafanywa tarehe 07/08/2019-09/08/2019.

Wanafunzi wote wanatakiwa kuandika barua za maombi kufanya "CARRY OVER" Au "SUPPLEMENTARY" barua ziwe na vivuli vya risiti ya malipo.

Kwenye barua kuwe na Code ya somo na jina la somo analotaka kufanya.

Mwisho wa kupokelewa barua za "CARRY OVER" ni jumatano 31/07/2019, saa 08 mchana

Na mwisho wa kupokelewa barua za "SUPPLEMENTARY" ni jumatatu 05/08/2019, Saa 08 mchana

Related Posts you may like